TTCL

EQUITY

Wednesday, November 20, 2013

HUU NDIO UTAJIRI WA MCHEZAJI WA TOGO EMMANUEL ADEBAYOR......!!!

 



MCHEZAJI wa Tottenham Hotspur ''Emmanuel Adebayor'' ni mmoja kati ya wachezaji matajiri sana Africa na anamiliki nyumba kwao Togo,Ghana,UK na Marekani.

Adebayor mwenye umri wa miaka 29 ametoa picha zake zikionyesha magari yake ya
kifahari, private jet na vitu vingine vingine.

Enjoy picha 15 kutoka kwa Adebayor ambaye siku chache zilizopita alikuwa kwenye harusi ya Peter wa P Square pamoja na Diamond Platnums.


KUSHOTO ni Private Jet  anayomiliki Adebayor..!




























No comments:

Post a Comment