TTCL

EQUITY

Monday, November 18, 2013

HATIMAYE PETER OKEYO WA P-SQUARE AFUNGA NDOA

Diamond apata mwaliko wa kuhudhuria katika hafla hiyo

 Pichani ni Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa Psquare pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter. Diamond yupo nchini Naija kwaajili ya utengenezaji wa video yake mpya ya wimbo Number One remix aliyomshirikisha msanii kutoka huko huko Naija anaitwa Davido. Nadhani tutegemee mambo mazuri sana kutoka kwa Diamond

 Emanuel Adebayo & Diamond
 
 Diamond & Iyanya
 
 Peter & Emanuel Adebayo

 Baada ya mahusiano yao kuongelewa sana Kwenye Mitandao hatimaye Peter Okoye wa P-Square Amefunga ndoa na mchumba wake wa muda Mrefu anayejulikana  kwa jina la Lola....

No comments:

Post a Comment