TTCL

EQUITY

Thursday, November 28, 2013

DIAMOND "PICHA ZA ZOEZI LA KUWAFANYIA INTERVIEW WALE WALIOTUMA MAOMBI YA KAZI"

Siku ya jana tulifanya zoezi la kuwafanyia interview baadhi ya watu waliotuma maombi yao kwa mujibu wa ,tangazo la kazi nilillolitoa juzi,mwitikio wa watu ulikuwa mkubwa,watu waliotuma email zao pamoja simu,kiasi ilituwia vigumu kuwataka wote waje kwenye interview,ilitubidi tuchague baadhi ya watu ambao tulihisi wanaweza
 kukidhi sifa tulizozihitaji ingawa nao pia tulipata changamoto ya wengi wao kuja pasipo kuzingatia maelekezo na maagizo ya tangazo lilivyotaka,hivyo jana 
nikishilikiana na wataalamu wa hizo sekta tulisaili na mwisho wa siku tutachukua wale wenye viwango tunavyovihitaji na kuungana na team ya WCB-WASAFI,. Ahsanteni sana.
alisema Diamond pale alipokuwa akizungumza na waandishi wa Blogs.

No comments:

Post a Comment