TTCL

EQUITY

Tuesday, July 2, 2013

OBAMA KATIKA ARDHI YA TANZANIA

TASWIRA ZA PICHA MBALI MBALI ZA UJIO WA RAIS OBAMA

Rais Dkt.Jakaya Kikwete akiwa na mgeni wake Rais Barrack Obama wa Marekani muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo mchana.nyuma ya Rais na mgeni wake ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na mke wa Rais wa Marekani Mama Michelle Obama. 8E9U8242 
Rais Barrack Obama akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) 8E9U8352 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Barrack Obama wa Marekani Rais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo mchana.Huku Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na Mke wa Rais wa Marekani Michelle Obama Wakiangalia 8E9U8357 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Barrack Obama wa Marekani Rais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo mchana.Huku Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na Mke wa Rais wa Marekani Michelle Obama Wakiangalia 8E9U8374 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Barrack Obama wa Marekani makamu wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi muda mfupi baada ya Rais huyo wa Marekani  kuwasili nchini kwa Ziara ya kikazi ya siku mbili. 8E9U8382 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Barrack Obama Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Padu Ameir Kificho katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere leo mchana(picha na Freddy Maro) 8E9U8442 
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na mgeni wake Mama Michelle  Obama muda mfupi baada ya kuwasili kwa Rais Obama nchini kwa ziara ya siku mbili nchini.

RAIS OBAMA APANDA MTI IKULU, DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa maelezo ya mti wa mpingo anaotaka kuupanda katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo ob8 
Rais Obama akipanda mti aina ya mpingo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo

No comments:

Post a Comment