TTCL

EQUITY

Wednesday, July 3, 2013

Mama mmoja anashikiliwa na Polisi huko Mwanza kwa kumkata uume kijana na pia kumwekea chupa sehemu za siri binti na kipigo juu kilichosababisha huyo binti kupoteza maisha.

Ramah Josephposted toBINDA NEWS

Mwanza:

mama mmoja aitwae ESTHER(35)anashikiliwa na jesh la polic jijin hapa kwa makosa mawili tofauti,kosa la kwanza ni la kumkata uume kijana mmoja(jina limehifadhiwa)aliye sadikika kumpa binti yake aitwae SUZ(19) mimba,kosa la pili mama huyo huyo alimpiga na kumwekea chupa sehem za siri msichana mmoja aitwae MARIAM(18) kwa madai ya kwamba ndiye anaemfundisha binti yake huyo umalaya baada ya kipigo kikali na mateso MARIAM alifariki dunia hiyo jana na mwili wake ulikutwa ume2pwa.Mtoto wa mama huyo (MARIAM) alisema"mama siku zote alikuwa anataman kuua na nadhan kusudio lake limetimia",baada ya kupata taarifa za mauaji aliyosababisha mama yake.

No comments:

Post a Comment