TTCL

EQUITY

Wednesday, July 3, 2013

Kuwa wa kwanza kukutana na Vichaa ambao ni Wapenzi.Na wanapendana sana.

 
Hawa ni machizi ambao wamekua wakionekana mara kwa mara na watu kuuliza kulikoni maana kila kinachofanyika ni kama mtu na mpenzi wake, mara kwa mara wamekua wakikiss (denda) na mwanaume ndio mara nyingi amekua akitafuta chakula na pindi kinapopatikana basi mwanamke humkimbilia na kumbusu mara kwa mara...!!  Majuzi juzi mashahidi walikua karibu na eneo wanaloishi hawa machizi waliwaona wakifanya tendo la ndoa.
 

No comments:

Post a Comment