TTCL

EQUITY

Wednesday, March 13, 2013

MAPENZI HAYA MH!!

JE, INAWEZEKANA HAYA!?


Bw. Harusi na Bi. Harusi

Imeripotiwa Nchini Afrika ya Kusini kijana mwenye umri wa miaka 8 ameozeshwa mwanamke mwenye umri wa miaka 61 jambo ambalo kwa mujibu wa kisheria nikama uvunjifu wa haki za kisheria. aidha ndoa hiyo iliyo tia fora na hatakuwashangaza wengi imethibitika kuwa ilifungwa kihalali na huku vyombo vingine vya habari vikiripoti kuwa ni shinikizo la wazazi 

No comments:

Post a Comment