TTCL

EQUITY

Monday, December 10, 2012

NIWAKATI WA MCHAKATO WA MAONI YA KATIBA MPYA...!!


Photo: WEWE UNAFIKILI HUYU BIBI ANAMPANGO GANI NA HILI PANGA???


Bibi akifuatilia kwa makini mwongozo wa uchangiaji katiba mpya kutoka kwa diwani wakata ya lorovan Bwana Samsoni Wanjara (hayupo pichani) wilayani Meru mkoani Arusha. aidha mkutano huo uliendelea vyema huku wana nchi wakipata elimu kuhusu katiba na haki zao ambapo zoezi hilo lilienda sambamba na buruda kutoka kwa wachekeshaji wa kundi la adventure.

No comments:

Post a Comment