TTCL

EQUITY

Monday, December 10, 2012

JIULIZE KWANINI WENGINE WANAJUTIA MAISHA LAKINI BADO SISI TUSIO NA TATIZO TUNAFANYA KUFURU....!!

 

Je unaguswa na matatizo yanayowapata watoto Nchini.. okoa maisha ya mtoto na changia maendeleo ya watoto wa tanzani, changia elimu yake,chakula, mavazi na shiriki katika wiki ya haki za watoto Tanzania. (14-20 December) kwa kutembelea vituo vya watoto yatima na waishio katika mazingira magumu... kaulimbiu za mwaka huu kila mtoto anahaki ya kuendelezwa... tuoneshe upendo kwao, tuwapende wao na kuwajali popote..

No comments:

Post a Comment