Ikulu ya White
house nchini Marekani inasema kuwa utawala wa Donald Trump haujachukua
msimamo rasmi kuhusu ujenzi wa makaazi ya Israel katika ardhi ya
Palestina, lakini upanuzi zaidi wa makaazi hayo huenda ukaathiri
mazungumzo ya amani katika eneo hilo.
- Trump aitaka Israel kusitisha ujenzi katika ardhi ya Palestina
- US 'yaishutumu' Israel kuhusu makaazi mapya
- Natenyahu aipinga hotuba ya Kerry kuhusu makaazi
- Israel kujenga makaazi 3000 zaidi huko West Bank
- Israel yawashtumu mabalozi wa UK, Urusi, China na Uhispania
No comments:
Post a Comment