Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akiongea na Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma wakati
wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya
Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania
Profesa Ibrahim Hamisi Juma akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya
wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2,
2017 wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya
Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo
February 2, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipokea ripoti ya mahakama
kuhusu kesi za uchaguzi kutoka kwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa
Ibrahim Hamisi Juma wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama
katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar
es salaam leo February 2, 2017. Kulia ni Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama
katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar
es salaam leo February 2, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikabidhi kwa Spika wa Bunge Mhe Job
Ndugai ripoti ya mahakama kuhusu kesi za uchaguzi wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa
Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road
jijini Dar es salaam leo February 2, 2017.Kulia ni Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiaga baada ya sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa
Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road
jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana na majaji wa Mahakama ya Rufaa
na wa Mahakama kuu baada ya sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa
Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road
jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.
Omar Othman Makungu baada ya sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa
Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road
jijini Dar es salaam leo February 2, 2017 - (PICHA ZOTE NA IKULU).
No comments:
Post a Comment