
Mkuu mpya wa majeshi nchini Tanzania Jenerali Venance Mabeyo
Rais John Pombe
Magufuli amemteua Luteni Jenerali Venance Mabeyo kuwa mkuu wa majeshi ya
Ulinzi nchini Tanzania akichukua mahala pake jenerali Davis Mwamunyange
aliyestaafu.
Taarifa kutoka ikulu iliotumwa katika vyombo vya habari inasema kuwa Luteni huyo sasa amepandishwa cheo na kuwa jenerali kamili.- Magufuli kusimamia maendeleo Zanzibar
- Magufuli ayaonya magazeti Tanzania
- Magufuli afuta safari za wakuu wa mikoa Simiyu
- Magufuli: Serikali haikusababisha tetemeko Kagera
Rais amesema kuwa uteuzi huo unaanza kutekelezwa mara moja.
Tarehe ya kuapishwa kwa wawili hao itatangazwa baadaye.
No comments:
Post a Comment