Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe
Mary (kushoto) wakizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye
amnaye amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu leo
Januari 12, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa
pole Waziri Mkuu, Mstaafu Frederick Sumaye ambaye amelazwa katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu leo Januari 12, 2016.
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na mkewe wamemtembelea na kumpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye leo jijini Dar.
Mhe. Sumaye amelazwa katika Taasisi ya Jakaya Kikwete iliyopo katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam ambapo anaendelea na
matibabu.
No comments:
Post a Comment