Pochi ni sehemu muhimu sana katika maisha ya mwanamke. Pochi zipo za
aina, rangi, ukubwa na matumizi mbali mbali. Ni nadra sana kukutana na
binti au mama anayetembea bila pochi, na kwa wengine maisha yao yote
wanatembea nayo kwenye pochi.
Kuna vitu muhimu ambavyo ni lazima kila mwanamke akumbuke kutembea
navyo kwenye pochi, na kuna vingine ni vyema kuwa navyo lakini sio
lazima
Muhimu
1. Pini
2. Sindano na uzi
3. Vifungo
4. Dawa yoyote ambayo unaitumia na kuihitaji
5. Kitambulisho
6. Pedi
7. Kalamu na notebook
2. Sindano na uzi
3. Vifungo
4. Dawa yoyote ambayo unaitumia na kuihitaji
5. Kitambulisho
6. Pedi
7. Kalamu na notebook
Ukipenda
1. Perfume
2. Lip shiner / lip stick
3. Poda
4. Kitana
5. Khanga / mtandio
6. Kadi ya benki
7. Sandals kama unavaa viatu virefu
2. Lip shiner / lip stick
3. Poda
4. Kitana
5. Khanga / mtandio
6. Kadi ya benki
7. Sandals kama unavaa viatu virefu
No comments:
Post a Comment