TTCL

EQUITY

Saturday, December 12, 2015

Tanzania inafaa kuiga utaratibu wa Nairobi

Foleni ya matatu, abiria wanaingia kwa utaratibu
Alama ya jiji la Nairobi, land mark
Iliko benki kuu ya kenya
Mtaa wa Kimathi, Ofisi za Magazeti ya Nation

Pilikapika za mtaa wa Tom Mboya
Sanam ya shujaa Tom Mboya


Alama za mitaa, zinaonekana uzuri

Chuo Kikuu cha Nairobi, kinachosemekana kuwa moja wapo ya vyuo bora Afrika
Mitaa ya Chuo Kikuu cha Nairobi
Ndani ya Chuo, karibu na duka la vitabu
Bustani za wazi katika maeneo ya Chuo Kikuu cha Nairobu
Kama ni kweli, sehemu hii haihusiki basi sawa sawa
Alama ya utambulisho wa Chuo Kikuu cha Nairobi

No comments:

Post a Comment