Hali ya Ajalia ilivyotokea. |
Mashuhuda pamoja na baadhi ya manusura wa ajali wakiwa katika hali ya taharuki.
Magari matatu yamepata ajali mkoani Mbeya leo asubuhi, ajali
iliyohusisha basi la Kampuni ya Hood linalofanya safari zake kati ya
Mbeya na Arusha, basi la Best linalofanya safari zake kati ya Mbeya na
Mwanza pamoja na lori katika eneo la Inyala mkoani Mbeya.
Katika ajali hiyo mtu mmoja amejeruhiwa vibaya na wengine kupata
majeraha madogo madogo. Kamanda wa polis Mkoani mbeya ACP Ahmed Msangi
amedhibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment