Nyota wa muziki AY baada ya kutoa wimbo mpya
alioubatiza jina 'Happy season' ukiwa ni maalum kwa mashabiki wote
wanaosheherekea sikukuu ya X-Mas, mkali huyo aweka wazi nia na dhumuni
lake la kutoa track hiyo wakati huu wa sherehe za X-Mas.
Kadi ya Nyota wa muziki nchini AY
AY
amesema ikifika wakati wa sherehe za Xmas wengi husikiliza rekodi za
magwiji wa muziki akiwemo Jim Reeves na wengineo wengi, ameamua kubadili
mfumo huo kwa kutoa track hiyo ambayo kupitia enewz mkali huyo
anaelezea kwa undani project hiyo mpya.
No comments:
Post a Comment