TTCL

EQUITY

Thursday, December 17, 2015

BALOZI WA UFARANSA AMTEMBELEA WAZIRI MAKAMBA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akizungumza na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Bi Malika Berak alimpomtembelea Waziri huyo Ofisini kwake mapema leo. Wengine ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mazingira OMR.
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Bi Malika Berak, Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula, Mkurugenzi Msaidizi-Mazingira na Afisa Ubalozi. Picha hiyo imepigwa baada ya kumalizika kwa mazungumzo kati ya Waziri huyo na Balozi Malika Beraki.

No comments:

Post a Comment