Wananchi wakipigana vikumbo wakati walipokuwa wakishuka katika MV. Kigamboni na huku wengine wakiingia kwa kuhofia kubaki baada kwa wingi wa watu |
Wakishuka wananchi |
Wananchi waliokuwa wakisubiri kuingia katika MV. Kigamboni huku wakiwa na Baiskeli zao ambapo kwa wenye Magari wameambiwa wapite Darajani au mwenyekuweza apaki avuke. |
Wananchi wakiwa katika taharuki |
MV. Kigamboni ikijiandaa kushusha upande wa Kigamboni |
MV. Kigamboni ikiwa inshusha upande wa Kigamboni |
Taswira katika muonekano wa MV. Magogoni na MV. Kigamboni |
No comments:
Post a Comment