TTCL

EQUITY

Monday, October 26, 2015

Mapema leo Polisi walizingira Ofisi Ya CUF Zanzibar..... Ni Baada ya Maalm Seif Sharif Hamad Kutangaza ameshinda

Hali ya Usalama Zanzibar sio nzuri, Polisi wameizingira Ofisi kuu ya CUF baada ya mgombea urais wa chama hicho,Maalim Seif Sharif Hamad kujitangaza mshindi dhidi ya mpinzani wake ambaye Dr All Mohamed Shein

Hali sio nzuri katika mji wa Chake Chake, hii ni baada ya vijana wa CUF kuingilia barabarani wakidai wanashangilia ushindi wa mgombea wao wa Urais.

FFU wameingilia kati, wakatoa maonyo wakiwataka wananchi watawanyike lakini wakakaidi, ndipo nguvu ya ziada ya mabomu ya machozi ilipotumika




No comments:

Post a Comment