Sehemu ya
wananchi wa Mji wa Karatu, wakionyesha furaha yao baada ya kuiona Chopa
inayotumiwa na Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, wakati
ikiwasili kwenye Uwanja wa Mkutano, Mjini Karatu, Mkoani Manyara leo
Oktoba 9, 2015.
Kikundi
cha Ngoma ya Asili kikitoa Burudani katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mbowe, Mjini
Karatu, Mkoani Manyara leo Oktoba 9, 2015.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akivishwa vazi rasmi la kimila la kabila la
wa Iraki, wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye
Uwanja wa Mbowe, Mjini Karatu, Mkoani Manyara leo Oktoba 9, 2015.(P.T)
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi katika Mkutano wa
hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mbowe, Mjini Karatu,
Mkoani Manyara leo Oktoba 9, 2015.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiteta jambo na baadhi ya Wagombea
Udiwani wa Kata mbali mbali za Mji wa Karatu, Mkoani Manyara leo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, akihutubia
wananchi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh.
Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mbowe, Mjini Karatu, Mkoani
Manyara leo Oktoba 9, 2015.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akisikiliza kwa makini Houba ya Mwenyekiti
wake, Mh. Freeman Mbowe (hayupo pichani), aliyokuwa akiitoa kwa wananchi
wa Mji wa Karatu, Mkoani Manyara leo.
Mwanasiasa
Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngomale Mwiru, akisisitiza jambo katika
Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Mbowe, Mjini Karatu, Mkoani Manyara leo
Oktoba 9, 2015.
Waziri
Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia wananchi katika Mkutano
wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Mbowe, Mjini Karatu, Mkoani Manyara leo
Oktoba 9, 2015.
Meza Kuu.
HABARI PICHA, IKIONESHA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA MKUTANO WA MGOMBEA URAIS MH. LOWASSA
No comments:
Post a Comment