Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia
maelfu ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo
katika Viwanja vya Nyabogoya, eneo la Butimba, Jimbo la Nyamagana,
mkoani Mwanza.
Wananchi
wakimshangilia Mama Samia Suluhu Hassan wakati akihutubia maelfu ya
wananchi hao waliofurika kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo
katika Viwanja vya Nyabogoya, eneo la Butimba, Jimbo la Nyamagana,
mkoani Mwanza.
Mjumbe
wa Kamati ya Kampeni za CCM, Kitaifa, Christopher Ole Sendeka, katika
mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama
Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo katika Viwanja vya Nyabogoya, eneo
la Butimba, Jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza.
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Geita Maarufu wa jina la Msukuma, akihutubia wananchi
katika mkutano wa kampeni wa Mama Samia Suluhu Hassan leo katika Viwanja
vya Nyabogoya, eneo la Butimba, Jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza.
Kada wa
CCM, Paul Makonda akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni wa
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
uliofanyika leo katika Viwanja vya Nyabogoya, eneo la Butimba, Jimbo la
Nyamagana, mkoani Mwanza.(P.T)
Kijana
akiwa na Kufuli, kumpamba Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John
Magufuli, katika mkutano wa kampeni Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika
leo katika Viwanja vya Nyabogoya, eneo la Bitimba, Jimbo la Nyamagana,
mkoani Mwanza.
Mkuu
wa Wilaya ya Nyamagana ambaye ni Kaimu Mkuu wa mkoa wa Mwanza Baraka
Konisaga, akihutubia mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa
tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo katika Viwanja
vya Nyabogoya, eneo la Butimba, Jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza.
Konisaga amewataka wananchi wa mkoa wa Mwanza kutokuwa na hofu wakati wa
kampeni zinazoendelea na wakati wa uchaguzi, kwa kuwa serikali katika
mkoa huo imejiandaa kuhakikisha shughuli hizo zinafanyika na kumalizika
kwa amani na utulivu.
Baadhi ya viongozi wa CCM, wakiwa meza kuu wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza
Wananchi
wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hassan aliphutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika
jimbo la Ilemela mkoani Mwanza
Wananchi
wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Kitaifa, Chrisopher
Ole Sendeka alipohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo
la Ilemela mkoani Mwanza
Mwananchi
akiwa kwenye kilele cha jiwe, ili kumuona mgombea Mwenza wa Urais kwa
tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa mkutano wa kampeni
uliofanyika leo katikajimbo la Ilemela mkoani Mwanza
Baadhi ya wanachi wakiwa kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Ilemela mkoani Mwanza
Wananchi wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofayika leo katika jimbo la Ilemela mkoani MwanzaBango la Mgombea Ubunge jimbo la Ilemela, Angeline Mabula
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akisistiza jambo wakati akihutubia mktano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Ilemela mkoani Mwanza
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Ilemela Angeline Mabula, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo.
Vijana wakiwa kwenye pikipiki zao wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Ilemela mkoani Mwanza
Mwenyekiti wa CCM, mkoa wa Mwanza maarufu kwa jina la Msukuma, akiwa na Kada wa CCM, Paul Makonda na Christopher Ole Sendeka wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Ilemela mkoani MwanzaPICHA ZOTE NABASHIR NKOROMO
No comments:
Post a Comment