Kauli ya LOWASSA Yaleta Gumzo 'Maskini Akienda IKULU Ataiba si Ndio? Tajiri Akienda Ikulu Atawapa watu Mbinu za Utajiri'
Kweli
au si kweli? Maskini akienda IKULU ataiba si ndio? Tajiri akienda Ikulu
atawapa watu mbinu za utajiri....ama, maskini akienda ataongoza kwa
kuelewa matatizo ya wananchi wake na kuwapa kipaumbele...na tajiri yeye
hatajali kundi la maskini wanahitaji nini maana hajui umaskini
unafananaje?? Vyovyote vile!! Bado tunasikiliza na kupima sera za
wagombea wote
No comments:
Post a Comment