Kwa upande wa fasheni hakuna anebisha kuwa mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ni DIVA wa ukweli kwa hapa Bongo na Afrika, Akitupia picha hizi Lulu aliandika msomo huu,
“Ukiona jirani anafaidika na mali yako....jua kuna mchawi ndani ya nyumba yako”
Mimi sijui alikuwa anamaanisha nini, lakini nadhani kila mtu anaweza kutafsiri kwa namna alivyo muelewa.Jambo la msingi jionee picha hizo alizopigwa na Slide Visuals..Enjoy!!
No comments:
Post a Comment