Kama mwaka huu hauna mpango wa kuangalia filamu yoyote ya hapa bongo,basi nakushauri ndugu yangu hii ya Masanja Mkandamizaji akiwa na Mboto sio ya kuikosa.
“Dairekita Lokesheni. #Hiki kitambi cha huyu kijana sijui amemeza nini mwanawane”-Masaja aliandika kuelezea picha hiyo hapo juu.
Jina a lini itakoka filamu hii bado hawijawekwa wazi, ila kwasasa ndio ina “shutiwa” kwahiyo mdau ukae mkao wa kula!!!
No comments:
Post a Comment