TTCL

EQUITY

Wednesday, January 7, 2015

Picha za Wolper Akifanya Mazoezi Zawa Gumzo Mtandaoni!!!

Picha za Wolper Akifanya Mazoezi Zawa Gumzo Mtandaoni!!!

Picha za mrembo na mwigizaji wa sinema za kibongo, Jackline Masawe ‘Wolper’ alizoziweka mtandaono akiwa nafanya mazoezi ya viungo zimezua mjadala na maswali mengi.
Picha za Wolper Akifanya Mazoezi Zawa Gumzo Mtandaoni!!! 1
Wolper ambae kwasaa anaonekana  kuwa ‘Bonge’ , wiki iliyopita alitangaza kuanza kufanya mazoezi ili aurudie mwili wake wazamani,  toka juzi amekuwa akitupia mtandaoni picha hizo hapo juu  akiwa mazoezini.
Picha za Wolper Akifanya Mazoezi Zawa Gumzo Mtandaoni!!! 2
Mbali na mashabiki wake wengi kumpamoyo kuwa aendelee kukomaa na mazoezi, wapo ambao waliona kama mwanadada japokuwani kweli anafanya mazoezi lakini lengo lake lingine ni kuonyesha watu tattoo zake alizojichora.

No comments:

Post a Comment