Shanga Ni Ishara Hasa Kwa Wanawake Wa Pwani Ya Tanzania, wanawake Wengi Hupenda Kuvaa Shanga Kuashiria Kitu. Mfano Akivaa Nyekundu Anaashiria Kuwa Yupo Siku Zake Hawezi Kufanya Mapenzi, akivaa Nyeupe Yupo Free Anaweza Kufanya Mapenzi Na Akivaa Nyeusi Huashiria Yupo Free Lakini Hawezi Kufanya Mapenzi.

.jpg)
Pia uvaaji wa shanga unaendana na utandikaji wa mashuka, mpenzi wako akitandika shuka jeupe/jeusi/jekundu huwa ana maana yake hivyo yakupasa kumuelew

NB: WADADA WENGI HAWAJUI NAMNA YA KUZIVAA UTAKUTA KAVAA ZOTE TATU HALAFU SIYO WASTAARABU ZINAONEKANA HADHARANI.
No comments:
Post a Comment