Huku akionesha “snap shot” ya sehemu ya ujumbe toka kwenye account hiyo ya facebook Rose aliandika
“Jamaniii hawa watu hata cjui huwa wanawaza nini,wapendwa kuweni makini wasije wakawatapeli mimi situmi hiyo account...duh eti cd moja atawapa bure, hapana kwakweli”
Jamaa hao wanatumia account moja yenye jina la “Rosse Ndauka" ya mtandao wa facebook wametangza kuwa wanatoa cd za bure kwa fans kitu ambacho sio kweli.
Tafadhali, epuka hawa matapeli.
No comments:
Post a Comment