Nisher ni miongoni mwa waongozaji/mtayarishaji wa video aliyepitia changamoto nyingi mpaka kueleweka na wafuatiliaji wa kazi za bongo fleva.Kupitia Instagram yake Nisher ameandika haya maneno kwa wanaomkosoa kila mara kwa kuandika waraka tofauti kuhusu yeye na kazi zake.
Nisher Ametengeneza video kama Nasry-Nini. Ben Pol Ft Joh Makini-Unanichora, Nikki Wa Pili Ft Joh Makini Na G Nako-Nje Ya Box
No comments:
Post a Comment