WASANII wa
filamu nchini, Bond Bin Sinan na Salim Ahmed ‘Gabo’ hivi karibuni
walinaswa wakisaga mirungi hadharani bila kujali kadamnasi.Ishu hiyo
ilitokea katika Ukumbi wa Dar West,
Tabata Dar kulikokuwa na sherehe ya bethdei ya Wastara Juma ambapo wasanii hao walikuwa wamejaza mirungi kwenye mfuko wa nailoni na kuweka mezani huku wakitafuna kuanzia mwanzo hadi mwisho wa shughuli.

Wenyewe walipoulizwa kuhusiana na tukio hilo, hawakuwa tayari kujibu lolote zaidi ya kuendelea kutafuna. MSANII ni kio cha jamii lakini hivi ni kushusha imani na mashabiki, pia inaharibu heshima yako wewe msanii.
No comments:
Post a Comment