Msanii
shilole ni moja kati ya wasanii ambao wame kuwa kwenye headline sana
kuhusiana na mahusiano yao ya kimapenzi kati yake yeye na nuh ,Baada ya
watu wengi kusikika wakisema shishi ni mkubwa kwa nuh shishi Baby
kupiyia ukurasa wake wa instagram kaamua kufunguka haya.
"Huyo nuh mnaosema ni mdogo kwangu! Kwani hajawaona
wadogo wenzie mpka kanipenda mm?? Mtt mdogo
angekuwa analilia mapenz ! Siangekuwa analilia ziwa kwa
mama yake ! But ni mkubwa ndo maana kajua utam wa
mwanamke ndo maana kaniganda! Wenywe tumeridhiana!
Wivu tu unawasumbua nikiwa na mtu mzima mtasema lol
shilole bwanaake babu nikiwa na kijiana mwenzangu oooh
kitoto kidogo mnikome! Mnakuepogi chumban muona udogo aek ��������"Ameandika Shilole
No comments:
Post a Comment