Rapa kutoka nchini Marekani, Clifford Joseph
Harris,’T.I’ akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa J.K
Nyerere jijini Dar kwa ajili ya shoo ya Fiesta.…
Rapa T.I akiwapungia mashabiki waliokwenda kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K Nyerere jijini Dar.
Rapa
kutoka nchini Marekani, Clifford Joseph Harris,’T.I’ akiwasili katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa J.K Nyerere jijini Dar kwa ajili ya shoo
ya Fiesta.
No comments:
Post a Comment