Mtuhumiwa (Mwanaheri) aliyenaswa kwa msala wa utapeli akiwa chini ya ulinzi wa Polisi eneo la Mlimani City jijini Dar.
Mwanamke
aliyetajwa kwa jina moja la Mwanaheri anadaiwa kunaswa kwa msala wa
utapeli na kupewa kashikashi la aina yake baada ya ‘kutaitiwa’ na
wanawake wenzake ambao ni wajasiriamali akisemekana kukomba mali zenye
gharama za Sh. milioni mbili.Tukio
hilo lililoshuhudiwa na wanahabari wetu lilijiri Mlimani City jijini
Dar, mapema wiki hii, mishale ya saa 10:00 jioni ambapo Mwanaheri
aliwekewa mtego na wanawake hao wanaofanyia bishara zao Kariakoo.
No comments:
Post a Comment