Jeshi la polisi zanzibar limefanikiwa kumkamata mtu mmoja akiwa na mabomu manne ya kivita ambayo yanasadikiwa ni miongoni mwa mabomu yanayotumika katika vitendo vya uhalifu yaliyotokea sehemu mbali mbali nchini.
Kamishna wa jeshi la polisi zanzibar CP Hamdani Omar Makame
amethibitisha kukamtwa kwa mtu huyo ambaye kwa Mujibu wa jeshi hilo mtu
huyo amekiri kuwa anajishughulisha na mtandao wa kuagiza,kuingiza na
kuhifadhi mabomu yakivita ya kurushwa kwa mkono na mabomu hayo yalikuwa
matano na polisi wamesema huenda moja ya hilo likawa ndilo lilotumika
Darajani huku kamishna amemsmea mtandao huo unausihw na matukio kadhaa.
Hata hivyo akmishna Hamdani Maka amesema kukamtwa kwa mtuhumiwa
huyo ambaye hatahivyo amekataa kumtaja jina na mazingira yaukamataji
wake amemsmea hahusiani na imani ya kidini na polis inamshughulika mtu
kisheria kutokana na kosa lake kwa mujibu wa sheria za nchi nasiyo
Imani za kidini.
Wakati polis imekataa kutoa taarifa yeyeote kuhusu mtuhumiwa huyo
jeshi hilo limesema hakuna kosa lolote la kisheria endapo mtu
akipelekwa nje yaznazibar kwakosa la ugaidi huku akisema bado polisi
ianedelea na upelelezi wa tukio hilo kama ni la zanazibar au la ama ni
mtandao waugaidi wa nchi nzima.
No comments:
Post a Comment