Mwili wa msanii 'YP' ambaye alifariki usiku wa kuamkia jana katika hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam, unatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Chang'ombe.
John Ambikile kaka wa marehemu
akizungumza kutoka Keko Marugumbasi ambako ndo msiba ulipo, alisema
mwili wa mdogo wake utaagwa TCC Sigara Chang'ombe mida ya saa 8 mchana
halafu safari yake ya mwisho ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele,
itafuatia.
Kwa mujibu wa rafiki wa
marehemu aliyejulikana kwa jina la Davi alisema marehemu ameacha mtoto
mmoja mwenye umri wa miaka 7 anayejulikana kama Amdi.
R.I.P 'YP'
R.I.P 'YP'
No comments:
Post a Comment