Najua
kuna uwezekano ukawa ulisikia fununu sana kuhusu iPhone6 au hata kuona
baadhi ya taarifa feki kuhusu simu hii mpya, post hii ni maalum
kukuletea taarifa sahihi na ya ukweli kuhusu iPhone6 ambayo ndio
imetambulishwa rasmi.
Wanasema simu zote hizi mbili mpya zina A8 processor ambayo inafanya ziwe na kasi zaidi kuliko iPhone5 kwa asilimia 20.
Unaambiwa zote iPhone6 na iPhone6 plus zimekuja na screen kubwa tofauti na nyingine zilizotangulia
Apple
wenyewe wanasema simu hizi mbili za iPhone6 na iPhone 6 plus zina 8
megapixel camera ambayo itasaidia camera kupata focus faster.
Simu
hizi zote mbili zitaanza kupatikana nchini Marekani September 19 2014
nchini Marekani pamoja na kwenye nchi nyingine nane duniani.
Simu
hizi za iPhone 6 na iPhone 6 pluz zitaambatana na saa hii ambayo
unaweza kuitumia kufanya mambo mbalimbali ambayo yapo kwenye simu pia
Apple
wanasema malengo yao ni k’uireplace’ au kuichukua nafasi ya Wallet,
yani kurahisisha mambo kwenye iPhone kiasi kwamba hutohitaji kutembea na
wallet.
Zaidi unaweza kutazama kwa kubonyeza >>> HAPA
No comments:
Post a Comment