Kwa
ufupi ni kwamba Tume ya vyuo vikuu imetangaza kwamba Wanafunzi wapatao
elfu 12 wanaotaka kujiunga na elimu ya vyuo vikuu Tanzania wamekosa
nafasi za kujiunga na vyuo hivyo kwa sababu ya walichagua sehemu zenye
ushindani mkubwa na wamekosa nafasi sababu alama zao zilikua ndogo.
No comments:
Post a Comment