.jpg)
Jackline Wolper amefunguka kuhusiana na moja ya shutuma
zinazoendelea kumkabili kila anapoamka. Mdada huyo mwenye kujituma sana
amefunguka kuhusu shutuma za kumuhusisha yeye na msanii mkali wa Hiphop, Ney wa Mitego. Mwanadada huyo akiongea na Vibe Tanzania alidai
hajawahi kuwa hata na number ya Ney wa Mitego sasa akisikia kwamba ana
mahusiano na mwana Hiphop huyo anashangaa sana kwani hata hajui maana
halisi ya kuzagaa kwa maneno hayo yasiyo na maana...

No comments:
Post a Comment