Kongamano
la wanawake Wajasiriamali Tanzania lilofanyika katika ukumbi wa Mbezi
Garden Hotel lilifana , mada mbalimbali ziliwasilishwa katika kongamano
hilo liliandaliwa na Tanzania Business Entreprenuers for Women(TBEW)
wakiongozwa na Haika Lawere Mkurugenzi Mtendaji wa Mbezi Garden Hotel.

Washiriki wakionyesha baadhi ya bidhaa zao.
Bi. Ashura Katunzi Kilewela wa TBS akiongelea umuhimu wa viwango katika bidhaa za kitanzania.
Paul Mashauri wa EASB akitoa mada katika kongamano hilo.
Benedict Mwambela, Mkufunzi toka ILO akitoa mada.
Washiriki wa kongamanno ambao walikuwa wakionyesha bidhaa zao.
No comments:
Post a Comment