Huyu ndie Tundu LISU.
KILA SIKU ANATOA HOJA BUNGE LIAHIRISHWE ALAMBE LAKI 3 ZA KULA BIA
ALAFU ANAUCHUNGU SANA ETI NA MASIKINI WA TANZANIA.
KILA SIKU ANATOA HOJA BUNGE LIAHIRISHWE ALAMBE LAKI 3 ZA KULA BIA
ALAFU ANAUCHUNGU SANA ETI NA MASIKINI WA TANZANIA.
WAJINGA NDIO WALIWAO.
- 36 people like this.
- Asenga Abubakar Sijawah ninaraha gan na hali ya watanzania ccm kila siku tunaangaika maisha ya watu ya boreke watu wanakula bata na vmwana
- Agnes Mahundi Hayo n maisha binafsi bhana acheni Siasa mchwala kwani kazi yake n maisha amevichanganya?think big kabla ujapost ujingaaaaa
- Andrew Chatwanga Aisee,Hawa jamaa noma sana siwakubali kutokana na vulugu na uongo uliopitiliza lakini wanasahau upesi sana,safi sana Asenga endelea kutujuza
- Saulo Sawila Unajjua kuna wakati mwingine huwa nashindwa kabisa kutofautisha kati ya nia na madhimuni ya mijadala ya kitoto km hii hivi km watu wakiamua kuanika yanayofanywa na wabunge kule dodoma bila kujali hadhi au chama anachotoka mbona itakuwa aibu ya mwaka mambo mengine tunalazimishwa tu kuyajibia maana yanakerea
- Adams Msigwa yupo na babezzz ndibalema....huyo babez analipa fadhila baada ya kutetewa mahakamani kesi yake ya uchochezi na vurugu pale udom 2010/11...eti makamandaa aaahhaa ahahaha@
- Joyce Ikongoli Umekosa vitu vya kuposti, ni majungu tu hayo na uchochezi, nani msafi, hata wewe una madhaifu yako tena mengi tu, acha utito post vya maana bana
- Winfrida Kanyika inakuhusu nini ,hayo maisha binafsi ya mtu ,c kila mda wote kazi kunawakati wa kupumzika ,,,,,,think outside the box
- Tausy Mwangomo Ila post zako za majungu nawe ni mwanaume lkn akili zako za kike, hayo ni maisha binafsi! Tumechoka na post za ujinga sasa@asenga
- David Hyera Hakuna cha maisha binafsi hapo kweli wajinga ndio waliwao, mbona angekuwa ni mbunge wa ccm hapo mngechonga sana, siasa za akina tundu lisu za kudai kuwakomboa watanzania ni za uongo mtupu hakuna huruma na walala hoi wao weñyewe wanaponda raha huku wapiga kula hoi.
- Tayana Masenga Wabunge takriban wote ndo zao acha majungu hayo nimaisha yake binafsi hayakuusu mbona wabunge wa ccm zao izo sana tu huwaoni? Acha bana
- David Hyera Na wewe@tayana, acha ushabiki we unasema bia zenyewe hata kumi hazifiki we unajua tangu ameanza kunywa chupa tupu zilizoondelewa hapo ni ngapi?na kama ndio ameanza una uhakika gani hadi akimaliza atakuwa amevunja bia kiasi gani?
- Frank Pess Mwanaume kumuhesabia mwanaume mwenzako kanywa bia ngapi ni mawazo finyu na kuna kila dalili za ushoga
No comments:
Post a Comment