TTCL

EQUITY

Friday, April 25, 2014

Fashion; Lupita Atokea Kwenye Cover La People Magazine,The Most Beautiful Person For {2014}

Lupita Nyong’o ametajwa na kuonekana kwenye Cover La Jarida La People, Kuhusu The Most Beautiful Person For 2014 na kuwekwa kwenye orodha ya watu waliowahi kuwepo kwenye Cover hilo kama Jennifer Lawrence, Julia Roberts na Julianna Margulies.

 

No comments:

Post a Comment