TTCL

EQUITY

Saturday, December 21, 2013

MAKALIO....,MAUNO.... ya SHILOLE yamfikisha BBC...SOMA ZAIDI HAPA

London,Uingereza 
MSANII wa filamu na muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Shilole amepiga hatua kubwa katika ulimwengu wa muziki, baada ya kutambulika kimataifa, Shilole ambaye yuko nchini Uingereza kwa ziara ya kikazi, ameweza kupata nafasi ya kutinga katika Ofisi za Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC).


Msanii wa filamu na muziki wa kizazi kipya Shilole akiwapagawisha mashabiki wake 

Shilole anakuwa msanii wa pili mwaka huu kutinga BBC, baada ya msanii mwenzake Ambwene Yesaya (AY) kuwa msanii wa kwanza mwaka huu kutinga katika ofisi hizo,Shilole ambaye atamba hivi sasa katika tasnia ya muziki huku akijizolea sifa kemkem, kutoka na uwezo wake mkubwa wa kutumia makali yake ipavyo akiwa jukwan

No comments:

Post a Comment