Lulu akifanya mazoezi.
ELIZABETH Michael ‘Lulu’
amefunguka kuwa mazoezi ni miongoni mwa vitu vinavyomfanya atulie na
kutofikiria mambo yasiyofaa katika jamii.
Mwigizaji
huyo ambaye kipindi cha nyuma alikuwa na rekodi ya kurukaruka viwanja,
kwa sasa amebadilika ambapo mbali na mambo mengine, Lulu amesema mazoezi
yamemsaidia sana kujituliza.
“Kama
unavyoona, sasa hivi Lulu siyo yule wa foolish age, nimetulia, nafanya
mambo yangu kwa ustadi mkubwa maana Mungu amenionesha,” alisema Lulu.
No comments:
Post a Comment