Mwana muziki wa Bongo freva toka mkoani Morogoro mwana dada Dayna Nyange, amekanusha kuhusishwa na picha
zilizomuonesha akifanya uchafu ufukweni akiwa na njemba nusu uchi.
Dayna kupitia page yake ya facebook, ameweka wazi kwamba sivyo kama
ilivyoandikwa na baadhi ya mitandao kwamba alfumwa badala yake ilikuwa
ni sehemu ya location ya video yake ya wimbo mpya wa mimi na wewe
"Jamani izi ni moja ya Picha....
Tulipokuwa location tuna shoot wimbo wangu wa "Mimi Na wewe" Na sivyo
kama ilivyo semekana. Na baadhi ya blogs kwamba nimefumwa beach
nikijiachia sijui nini Na nani kha!
No comments:
Post a Comment