Unamanisha nini ukisema Zero distance ?
hahahahhaahha zero distance I mean ukiwa umepiga picha mkiwa mmekumbatiana tena na wasanii karibu wanne au watano
Ashley toto na bob junior
Ashley toto na Redsan
Ashley toto na Nameless
Ashley toto na Ali kiba
kwa hiyo ni kuonyesha tu ukaribu mlionao kikazi na sio kutafuta kiki kama watu wanavyodhani ?
Ndio ni ukaribu wa kikazi tu wala sitafuti kiki, maana mimi ni promoter na muda mwingi nakua na wasanii kwa ajiri ya kazi tu.
Eeh twende kwenye film tuambie kuna movie gani tutegemee maana umekuwa kimya kwa mda kidogo
Kwa sasa ndio nipo kimya kwa mambo Binafsi ila Mwakani wataniona katika Game
Ashley toto na Frank shooting Moyo Wangu behinde the scene
Ashley toto in pose
Ni kweli nipo na Mashabiki Wengi sikudhania..Ok Ningependa Kuwaambia Mashabiki wangu kua Nipo katika mahusiano. So Iam Not Single
Ok niambie changamoto unazokumbana nazo wewe kama msanii?
Changamoto zipo I think kwa Wasanii wote ila upande wangu ni watu kunidhania mambo ambayo siyajui kama vile “Bob Junior kuachana mke wake” au kua ati nilikua natafuta KIKI kutotajwa Prezzo” kwangu mimi sijali watu wanavyo nidhania ila naweza kwaambia am a very Different person mtu akinijua sio kama vile wananisikia.
Ashley toto in pose
Nataka kuwashukuru sana Mashabiki wangu kwa kuni Pongeza na kua Karibu na mimi wakati wote na Nawatakia Mwaka mpya mwema…. soon nitawaletea mambo mapya!!!!!
No comments:
Post a Comment