TTCL

EQUITY

Friday, November 29, 2013

YOUNG KILLER AFANYA YAKE KATIKA MSOSI

IMG-20131129-WA0022Ijumaa ya leo msanii alietoka kwenye familia ya Super Nyota wa mwaka 2012 Young Killer amepiga dua maalum kwa kumshukuru Mungu kwa kumuwezesha kuanzia alikotoka mpaka alipo sasa ambapo kwenye dua hiyo iliyofanyika kwa saa mbili, Killer pia aliwaalika ndugu jamaa na marafiki kwa ajili ya chakul nyumbani kwake Kinondoni.
IMG-20131129-WA0023 
Anasema ‘nimeamua kusoma dua hii maalum na kumuita Shekh ili kumshukuru Mungu kwa kila nifanyacho na baraka zake nikaona sio vibaya nikitumia nafasi hii pia kuwaalika ndugu zangu kujumuika nao katika dua hii muhimu’-Young Killer
Waalikwa wa dua hii walikua ni wale kutoka familia yake anayoishi nayo Classic Sound pamoja na majirani wa nyumbani kwake.

IMG-20131129-WA0025

No comments:

Post a Comment