MH. RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA KOMBE LA DUNIA MWANZA...
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilifunua na kulinyanyua Kombe la Dunia
katika uwanja wa michezo Kirumba mjini Mwanza leo jioni. Kombe hilo
limerejea jijini Dar es Salaam na kesho wananchi watapata fursa ya
kupiganalo picha.
No comments:
Post a Comment