Angalia dada huyu akipiga mistari bila wasiwasi
Inadaiwa utumizi wa madawa ya kulevya ni hatari kwa binadamu lakini hii leo kila mtu pasipo kujali umri wala jinsia utakuta watu wanatumia madawa yakulevya, ikiwemo Mirungi, Bangi, Kete, na vileo vikali. kw utafiti uliofanyika imebainika kuwa wanawake wanapo tumia mihadarati hii kama vile Bangi hapo baadaye hukumbwa na saratani ya ziwa, koo na ini jambo hili ni hatari kubwa kwa jamii. aidha kwa wanaume hutengeneza lami katika mapafu ambapo lami hii inapokauka ndiyo humletea stim ya kutaka kuvuta tena bangi.
Onyo; utumizi wa madawa ya kulevya ni hatari kwa maisha yako.
No comments:
Post a Comment