Kwenye
interview aliyofanya na Millard Ayo mzee huyu staa wa movie za
vichekesho hapa Tanzania ambae mpaka sasa ameshaigiza movie zaidi ya
600, umri wake ukiwa miaka 65… alithibitisha kwamba anapokea mshahara
wa milioni 17 mpaka 20 kwa mwezi sasa hivi kutoka kampuni ya Steps
anayofanya nayo kazi
Daladala za biashara anazomiliki Mzee Majuto ni tatu tu na anamiliki pia Noah ambayo ndio anaitumia kutembelea.
No comments:
Post a Comment