MATENDO ANDREW AFUNGUKA JUU YA PETER BANZI
|
Matendo Andrew akiwa katika pozi |
Ni
mara chache sana imekuwa ikitokea mwimbaji kutamka kwa kinywa chake na
kusema kuwa anamkubali mwimbaji mwenzie! lakini kwa mara ya kwanza
mwimbaji Matendo Andrew. amesema hafichi ukweli uliopo moyoni mwake juu
ya kumkubali mwimbaji Peter Banzi anayefanya mziki wa injili kwa style
ya hip hop.
|
Matendo Andrew kulia akiwa na Peter Banzi katika pozi |
Aliyasema
hayo nilipo fanya nae mahojiano siku ya jumapili tulipokua katika hafla
maalum iliyoandaliwa na mtangazaji wa praise power radio huko Tegeta.
|
Peter Banzi wa kwanza kushoto katikati ni Gazuko na mwisho ni Matendo Andrew |
Pia
aliongelea juu ya ujio wa album yake mpya inayoenda kwa jina la Ndani
ya Yesu, yenye nyimbo nane ikiwa imekamilika kwa mfumo wa audio na
video.
No comments:
Post a Comment